Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Ana hasira na Wema kwasababu ya Mange, siku ugomvi wa Temu family na Mange ukiisha nitakuwa pensioner.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] daah!kajiharibia kweli rachel na mpk dada ake hoyce kumbe wote washenzi tuu...

ugomvi hauishi kama israel na palestina!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shoga nenda kwa mange nakuambia leo anabadili tu akaunti mara uliyemkataakaja au kanyagatwendee....aibu imemkutaaa mpk bas
Itakuwa tumepishana kwa mange.
Nimemchamba mpaka.
Yupo anadelete post ha ha ha.
Aibu isiyo ya kawaida hii jamani..
Mweee mweee mweee

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23] now anaangaika kufuta watu aliowatukana ilikua mtu hata akilike kitu kwa mange anatukana
asante besti kula gwala...[emoji3] [emoji3] [emoji111] [emoji111] rachel leo amekalia ncha kali...!!!!anahahaa huyo balaa...

si afute tu akaunti..
hizi feki id hizi.....hatari sana looohh!!!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
yani nimecheka ulivyoumbuka alafu eti kafuta baadhi ya post hata dada ake hoyce temu kuna siku alijisahau akapost issue sensitive kwenye account yake ya matusi[emoji3][emoji3] akafuta fasta
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani leo kaumbuka vibaya mnoo...cha moto anakiona leo atafute ila tushamjua na anavyojifanya mzunguuu...!!![emoji1] aibu yake mwenyewee maana ile mitusi mimi mpk nilikua najiuliza hivi huyu kweli ana mume na watoto?au kasoma kweli huyuuu
Itakuwa tumepishana kwa mange.
Nimemchamba mpaka.
Yupo anadelete post ha ha ha.
Aibu isiyo ya kawaida hii jamani..
Mweee mweee mweee

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app

ahaaaa niliona hyo. msando alichambwa wakasema ana ngoma na vithibitisho juu.yaani umbea wake sio wa nchi hii

Msando kashamchamba sana yaani leo analoo
 
yani nimecheka ulivyoumbuka alafu eti kafuta baadhi ya post hata dada ake hoyce temu kuna siku alijisahau akapost issue sensitive kwenye account yake ya matusi[emoji3][emoji3] akafuta fasta
Wee Mange Kimambi sio ...[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43] huu Mbona nwandiko wako kule Instagram!!??
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23] now anaangaika kufuta watu aliowatukana ilikua mtu hata akilike kitu kwa mange anatukana

Fursa2017
 
asante besti kula gwala...[emoji3] [emoji3] [emoji111] [emoji111] rachel leo amekalia ncha kali...!!!!anahahaa huyo balaa...

si afute tu akaunti..
hizi feki id hizi.....hatari sana looohh!!!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Recho miwaya ha ha ha ha.
Nimecheka sana Leo..
Alikuwa anamchamba Wema kumbe yeye mwenyewe hajazaa.
Kujitia anaishi marekani na ana katoto ka kizungu. Hu hu hu hu

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
asante besti kula gwala...[emoji3] [emoji3] [emoji111] [emoji111] rachel leo amekalia ncha kali...!!!!anahahaa huyo balaa...

si afute tu akaunti..
hizi feki id hizi.....hatari sana looohh!!!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Yaan ana matusi recho na kwenye page yake katengeneza nywele hizo hizo yaan nataman aliowatukana wampeleke polisi....

Wanajitiaga wajuaji sana huko insta
 
yani nimecheka ulivyoumbuka alafu eti kafuta baadhi ya post hata dada ake hoyce temu kuna siku alijisahau akapost issue sensitive kwenye account yake ya matusi[emoji3][emoji3] akafuta fasta
ndo nimejua wale wote hamnazo hoyce akajifanya kahakiwa
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]yaani kweli maisha bila unafiki hayaendi maana sio kwa kujifanya mzungu kule daah!kumbe mxiuu zake
Recho miwaya ha ha ha ha.
Nimecheka sana Leo..
Alikuwa anamchamba Wema kumbe yeye mwenyewe hajazaa.
Kujitia anaishi marekani na ana katoto ka kizungu. Hu hu hu hu

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
ndo yeye ndio mpk nywele ndo zile zile yaani hana pa kutokea yule!!
Yaan ana matusi recho na kwenye page yake katengeneza nywele hizo hizo yaan nataman aliowatukana wampeleke polisi....

Wanajitiaga wajuaji sana huko insta
 
Vya wazungu hivi ipo siku unajisahau na kuharibu mambo ila khasa dada zangu hivi mtu unapata raha gani kutukana watu tu na wala hawajakutendea ubaya ni faida gani? Nadhani ni fundisho
Baasi tu hulka za bata muda wote anahara tu...!!!kaumbuka leoo!!!

Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…