Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ana hasira na Wema kwasababu ya Mange, siku ugomvi wa Temu family na Mange ukiisha nitakuwa pensioner.[emoji3] [emoji3] [emoji3] tatizo yule alikua anadili na watu wengi tofauti na mange
Ona anavyomtukana mobeto na ana mitusiiii...balaaa...mimi nimefurahi kweli leo alivyojulikana live mfano wema kila siku anamtukana jaman hajamkosea chochote,Sakina lyoka nae chupuchupu aumbuliwe!
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app