Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Linda je....

Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua

Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???

Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
kuna mwingine somebody nhonoki,mange ali reveal identity yake,ikabidi apotee insta-network ya mange ni kubwa sana huwezi kumtusi kwa kuficha identity akakukosa
 
Linda je....

Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua

Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???

Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
ahaa sio timua vuzi bana ni vuzipori
 
Anamwandamaga sana wema

Kuna kipindi alimuandama Miriam Odemba kisa alicoment kwa mange

Acha yamkute

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
hata mimi inaniumaga sana kumuita wema tasa .mwenyewe kumbe hata mtoto hana .kaniuzi sana
 
Sojui akikutana na akina wema ataweka wapi sura yake

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Hapo sasa jamani.
Mweee mweeeh mweeeeh. Je faiza, je mabeto balaaa tupu . atajifungia ndani wiki.
Yani yule mtu akiwa karibu au anapendwa na mama kenzo yeye alikuwa anamwandama tuu. Sasa yamemfika

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Hujanasa picha yake shogaa na sie tumuone
Hata kwenye umbea pia nipo,huyo ndo Recho Temu na nilimscreenshot live wakati alipokuwa hewani kule insta![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20170711_214347_032.jpg
    IMG_20170711_214347_032.jpg
    32.7 KB · Views: 91
Back
Top Bottom