BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
PoleKatukana mpaka watu wake wa karibu huyo rachel jamaan leo ndio wanashangaa kumbe rafiki yetu ndio anatutukana kila siku usiwafanyie wenzio ubaya bila sababu
kuna mwingine somebody nhonoki,mange ali reveal identity yake,ikabidi apotee insta-network ya mange ni kubwa sana huwezi kumtusi kwa kuficha identity akakukosaLinda je....
Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua
Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???
Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
mjini tunasaidiana kushare....
Twende dear ha ha ha "nalabua" maneno insta na vile alishaniblock ni kumlabulia maneno tuu.Twende wote...
ahaa sio timua vuzi bana ni vuziporiLinda je....
Alisajili akaunti akajiita timuavuzi.... (kama sikosei) facebook ikamuumbua
Halafu kwa nini recho anamwandamaga mange sana???? Hawana shughuli nyingine mjini???
Ila acha wawe na mabifu maana kutokana na mabifu yao tunapata ubuyu wa mjini
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh, huu uzi ni kama umemfuata mkeo salon, alafu akakwambia ukae umsubiri...kama una roho nyepesi utaondoka tu akimaliza aku beep.
hata mimi inaniumaga sana kumuita wema tasa .mwenyewe kumbe hata mtoto hana .kaniuzi sanaAnamwandamaga sana wema
Kuna kipindi alimuandama Miriam Odemba kisa alicoment kwa mange
Acha yamkute
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
Hapo sasa jamani.Sojui akikutana na akina wema ataweka wapi sura yake
Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe siku hizi kuwa shoga ni sifa? naona kuna watu wanaitana shoga humu
Si ndiyo mpaka awe na simu mbili. Ha ha ha.Hana akili
Angetumia simu nyingine kabisa ya kufanya hiyo kazi ya udaku.
Ndo shida ya kua na fekero huku una simu moja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hana akili
Angetumia simu nyingine kabisa ya kufanya hiyo kazi ya udaku.
Milele
Hata kwenye umbea pia nipo,huyo ndo Recho Temu na nilimscreenshot live wakati alipokuwa hewani kule insta![emoji116][emoji53][emoji53][emoji53]Hujanasa picha yake shogaa na sie tumuone
Rafiki nisaidie kumwambia Numbisa kuwa nampenda![emoji176][emoji176][emoji176]Numbisa@Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani nimebaki natoa macho tu utadhani nimeingia saluni ya kike