Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Rachel Temu aumbuka vibaya leo

Albert msando ndio nan

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Mambo yenu ya kitoto muwe mnamalizana hukohuko insta

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
ade1ec88629c1cf75e00427b3ce0b099.jpg

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji115] daaah!!!
 
Kwa hiyo huyo Recho ana matusi kumshinda Mange?
Hamshindi mange ila recho alikuwa anatembelea kivuli cha fake account kutukana watu ambao hadi wengine ni marafiki zake.
Mfano Mimi nikiwa kwenye account yangu nakuheshimu wewe ila kumbe Nina account nyingine nakutukana sana. Kinachotisha siyo matusi ila ni vile alikuwa mnafiki kuzunguka watu na kuwatukana.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]yaani kweli maisha bila unafiki hayaendi maana sio kwa kujifanya mzungu kule daah!kumbe mxiuu zake

ndo yeye ndio mpk nywele ndo zile zile yaani hana pa kutokea yule!!
He he he mwisho wa ubaya ni aibu.
Ngoja miye nikapekenyue zaidi.
Mpenzi

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Hamshindi mange ila recho alikuwa anatembelea kivuli cha fake account kutukana watu ambao hadi wengine ni marafiki zake.
Mfano Mimi nikiwa kwenye account yangu nakuheshimu wewe ila kumbe Nina account nyingine nakutukana sana. Kinachotisha siyo matusi ila ni vile alikuwa mnafiki kuzunguka watu na kuwatukana.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Ningeshangaa sana kama angemzidi Mange kwa matusi.

Hahahahaaa.
 
Mi nilijua yalishaisha

Sent from my HUAWEI RIO-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Kama anamzidi hadi Mange basi atakuwa anatisha. Atakuwa si wa sayari hii.

Ila sijui watu watakua lini tu!

Utoto, ujinga, na upumbavu ni combination mbaya sana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] soma hapa
Hamshindi mange ila recho alikuwa anatembelea kivuli cha fake account kutukana watu ambao hadi wengine ni marafiki zake.
Mfano Mimi nikiwa kwenye account yangu nakuheshimu wewe ila kumbe Nina account nyingine nakutukana sana. Kinachotisha siyo matusi ila ni vile alikuwa mnafiki kuzunguka watu na kuwatukana.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Tusubiri siku tuone Insta Account ya siri John Mapadlock. Maana nchi hii we acha tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we kaka wewee
 
Back
Top Bottom