Rachel Temu maarufu Sana kwenye mtandao wa Instagram akitumia jina gumu - Tempestitouslyracheltemu ni mwanamke anaejinasibu kua yeye ni mke wa afisa flan wa ubaloz kutokea Zimbabwe. Anaishi Nairobi na anasema anahold a "diplomat passport". Kiukweli anaishi 'a diplomat life style' according to pictures anazopost Ig.
Hufanya ujasiriamali wa vitu mbalimbali Kama nguo na vyombo. Kizuri Sana alichokianzisha Sasa ni darasa la mapishi. Binafsi bado sijajiunga kwenye darasa lake Ila inaelekea anajua kupika sana.
Kinachonishinda kwa huyu dada ni matusi na dharau kwa wananchi wenzake haswa wanawake. Anadhalilisha wanawake na haogopi kitu chochote Wala Sheria huku akijitapa mama yake ni Askari mstaafu hivyo haogopi kabisa polisi, kwakua amekulia police cotters.
Anakua Kama vile anakerwa Sana na maendeleo ya wenzie. Wakati flan ilivuja sauti akiomba alipwe pesa ili aache kumtusi mwanamke Fulani.
Kwa wajuzi wa Mambo hivi Yale matusi pale hua ni biashara? Anabully watu ili alipwe pesa au anatafuta followers wengi kwa kutukana watu?? Hivi kwanini wanaotukanwa wasiende kureport huko ubalozini as mi naona anatia aibu huo ubalozi?? Mumewe haoni kabisa haya matusi?
Inasemekana pia ni mdogo wa former miss Tanzania Hoyce Temu. Je ni kweli? Wakati mwingine kwa uchache hua anasaidia wenye shida kupitia account zake.
JE HUYU RACHEL TEMU NI NANI HASWA?
Cc. Warumi, Numbisa