Rachel Temu nani haswa?

Rachel Temu nani haswa?

Rachel Temu maarufu Sana kwenye mtandao wa Instagram akitumia jina gumu - Tempestitouslyracheltemu ni mwanamke anaejinasibu kua yeye ni mke wa afisa flan wa ubaloz kutokea Zimbabwe. Anaishi Nairobi na anasema anahold a "diplomat passport". Kiukweli anaishi 'a diplomat life style' according to pictures anazopost Ig.

Hufanya ujasiriamali wa vitu mbalimbali Kama nguo na vyombo. Kizuri Sana alichokianzisha Sasa ni darasa la mapishi. Binafsi bado sijajiunga kwenye darasa lake Ila inaelekea anajua kupika sana.

Kinachonishinda kwa huyu dada ni matusi na dharau kwa wananchi wenzake haswa wanawake. Anadhalilisha wanawake na haogopi kitu chochote Wala Sheria huku akijitapa mama yake ni Askari mstaafu hivyo haogopi kabisa polisi, kwakua amekulia police cotters.

Anakua Kama vile anakerwa Sana na maendeleo ya wenzie. Wakati flan ilivuja sauti akiomba alipwe pesa ili aache kumtusi mwanamke Fulani.

Kwa wajuzi wa Mambo hivi Yale matusi pale hua ni biashara? Anabully watu ili alipwe pesa au anatafuta followers wengi kwa kutukana watu?? Hivi kwanini wanaotukanwa wasiende kureport huko ubalozini as mi naona anatia aibu huo ubalozi?? Mumewe haoni kabisa haya matusi?

Inasemekana pia ni mdogo wa former miss Tanzania Hoyce Temu. Je ni kweli? Wakati mwingine kwa uchache hua anasaidia wenye shida kupitia account zake.

JE HUYU RACHEL TEMU NI NANI HASWA?
Cc. Warumi, Numbisa
Diplomat anafanya ujasiriamali wa nguo na vyombo Nairobi? Huenda sijui maana ya Diplomat.
 
MWIJAKU KAPATA MSAIDIZI SASA HIVI ANAITWA BABA LEVO.. sasa huyo levo ndio hali mbaya zaidi maana hata yeye mwenyewe hajijui kama ni mwanaume au mwanamke!
Si ni heri Baba levo anajulikana ni la saba, akina harmonize , Rayvanny , diamond , H-baba wote Elimu zao miyeyusho , .....wa kumshangaa hapo ni mwijaku graduates tena from UDSM lakni thinking capacity ni level ya Baba levo
 
Itasikitish sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Si ni heri Baba levo anajulikana ni la saba, akina harmonize , Rayvanny , diamond , H-baba wote Elimu zao miyeyusho , .....wa kumshangaa hapo ni mwijaku graduates tena from UDSM lakni thinking capacity ni level ya Baba levo
Halafu yule nae amekaa kama kocho hivi. Hawambokoi kweli?
 
Amefiwa na mama ake juzi hapa mdomo wote kimyaa!!Mungu fundi Sana
 
Rachel Temu naona alipelekwa magereza za Kenya na amesota huko sana. Sasa amekuwa mpole sana, je alifanikiea kupata dhamana?? Naskia pia anashtakiwa kwa kuidanganya serkal ya Kenya kwamba yeye ni diplomat wife
 
Hapana kashtakiwa Kwa kumtukana Mbunge viti maalum Catherine magige na alimuita no HIV victim Ndo maana
Bado Yuko jela
 
Hapana kashtakiwa Kwa kumtukana Mbunge viti maalum Catherine magige na alimuita no HIV victim Ndo maana
Bado Yuko jela
Yes niliskia lkn pia nafikiri alipata dhamana. Lakini ana kesi nyingine sababu siku anakamatwa aliwaambia polisi wa Kenya kwamba mumewe ni diplomat ( huyo anaeishi nae) lakini kumbe yule bwana ana mke kwao, Rachel ni hawara tu. Polis ya Kenya imemshtaki kwa kuwadanganya
 
Back
Top Bottom