Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

We acha bhana... yaani koooooooooooote tunaweza kasoro kwenye hospitality industry peke yake!!! Serious?! What's so special?!

Kwanza kama kumbukumbu zangu zipo sawa, UDOM ipo ama Tourism & Hospitality Management, au BCOM in Hospitality Management or both! Likewise, SUA nako kama sikosei kuna Tourism & Hospitality Management! Kwahiyo sio sahihi kwamba hatuna shahada zinazohusiana na hospitality industry!

Sehemu pekee ninayoona tatizo ni kwenye front office management/customer care lakini hizi ni nafasi ndogo sana!

WHY Kenyans?! Sioni cha maana zaidi ya Kiingereza chao kisichovutia kukisikia though ni wazuri pia kwenye front office kulinganisha na wapiga soga Watanzania
 
watu wanamuogopa sana yule ana matusi ,ila sijui ana matatizo gani.kila mtu ana uhuru wa kufanya biashara yake .issue ya pricing kwenye mahoteli ni uamuzi binafsi wa hotel sio ya serikali
Aligonga mwamba kwa Mange,so kapata wanyonge wake[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…