Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee ngabu acha akae huko kwenye maboksi angeishi bongo tusingetoshea hapaAisee nakumind mizigo yote ninayoitamani unaichukua kilainii
Loyal oneAmini usiamini Ms ni jirani kabisa!
Siamini Nyani Ngabu kanipora Miss Natafuta na wewe pia?!Siku ipi bby? Mbonw sina taarifa. Unaniachaje kimya kimyw?
We acha bhana... yaani koooooooooooote tunaweza kasoro kwenye hospitality industry peke yake!!! Serious?! What's so special?!Ukiweka chefs kando, muajiriwa wa hotel Ukiwa muhasibu hutakiwi kubase Kwenye uhasibu tu kuna muda wateja wanachanganya na wao wanasave. Tuongee ukweli Mkuu hii biashara wa bongo hatuiwezi tukaze tupambane iweje mkenya aajiriwe mbongo anaachwa? Wameshaona mapungufu tukaze kama Sekta nyingine tu.
Mi nawajuaje sasa. Wewe ndo uniambie maana unawajua [emoji23][emoji23]
Nimeamini. Mwambie wifi anikaribishe nyumbani maana na mie nazunguka sana mitaa ya kwenu.Amini usiamini Ms ni jirani kabisa!
Aaaah.Aisee ngabu acha akae huko kwenye maboksi angeishi bongo tusingetoshea hapa
Mi nakutaka wewe bwana achana na NgabuSiamini Nyani Ngabu kanipora Miss Natafuta na wewe pia?!
5500 kwa Mlatie.
Kiuno kama nini vileHahahaaaa ngoja ninyamaze nisije kujeruhi hisia za watu bure!
Aligonga mwamba kwa Mange,so kapata wanyonge wake[emoji23]watu wanamuogopa sana yule ana matusi ,ila sijui ana matatizo gani.kila mtu ana uhuru wa kufanya biashara yake .issue ya pricing kwenye mahoteli ni uamuzi binafsi wa hotel sio ya serikali
Aisee ngabu acha akae huko kwenye maboksi angeishi bongo tusingetoshea hapa
Ijumaa nitakutafuta tukadange kwa Rrondo wifieNimeamini. Mwambie wifi anikaribishe nyumbani maana na mie nazunguka sana mitaa ya kwenu.
Hahahahaa. Na mie nanyamaza nisijepigwa bure na watu.Hahahaaaa ngoja ninyamaze nisije kujeruhi hisia za watu bure!
Wewe ushaona wote humu? Shunie yuko kama Beyonce