Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Four seasons hotel Serengeti (Former Bilila Lodge) is the most expensive hotel..hiyo Mil.22 ni kawaida sana!

Pale four seasons presidential villa per night ni $12,000 sawa na Mil.25..

Wine Laki 7..

Soda ya kawaida 80000/=

Nilifika pale nikajikuta rangi nyeusi ni sisi na wahudumu tu ..na wanaenda watu mashuhuri zaidi duniani..

Huyu Rachel no wonder alitimuliwa Grumeti pale! ni mshkaj wangu in person lakini ana psychological problem inaitwa phantom complex!

Kama hana hela atulie...lile danga lake fupi Nene ambaye anamchukia Matukio Chuma yupo?! teh
Hyo hela unakuta na mtoto mzuri wa kukupa joto mbugani au ni kwaajili ya usingizi, chakula na vinywaji?
 
Back
Top Bottom