Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Ndio kabisa nasikia hizi hotel wazawa wanalipwa laki na nusu au laki mbili halaf wageni wanalipwa pesa ndefu kweli hapo namuunga mkono
Tena wahindi wanaleta ndugu zao.
Wengine wanalipwa kwa usd kabisa ila mzawa analipwa laki na 20.

Wakati serikali inahangaika kufanya advertisement huko tanapa na ttb lakini hao wageni wakija wananuafaisha wakuja.
Wahindi.
Sasa wewe nenda kwenye nchi zao uone kama utalipwa nini.
 
Huyu Rachel Temu Ndio Yule Mange Kimambi anamuitaga Rachel Miwaya?

Nasikia anasambaza bila huruma hasa kwa waume za watu!
Ndiye huyo ila kuusambaza sidhani Mange anasinfo kuwa Hoyce ampatia ARV's za USAID
 
Shangaa miss Natafuta sijui analalamikia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…