Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sema ukweli babe na roho yangu itapona.Hahahaaaa RRONDO bana.
Sijawahi kulala na Ms bana...
Ms ni jirani yangu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ukweli babe na roho yangu itapona.Hahahaaaa RRONDO bana.
Sijawahi kulala na Ms bana...
Ms ni jirani yangu tu.
Ahahaaa sisi majirani tuHio 22m mngelala pale mlipolala kwa 69k per night mwaka mzima kasoro mwezi(siku 318)
Cc Nyani Ngabu
Sema ukweli babe na roho yangu itapona.
Nakusubiri urudi twende kule kwanza kabla ya Vegas. Bikini body soon bby soon.Wewe ni wa kupeleka Vegas au South beach, Miami.
Just stay ready and work on that bikini body...
Wewe unajuaje kinywaji pendwa cha ngabu???Na wangekunywa Heineken ngapi?
Basi bby nimeamini we ni neiba ake.Haki ya mungu tena.
Ms ni jirani yangu tu.
Aisee nakumind mizigo yote ninayoitamani unaichukua kilainiiWewe ni wa kupeleka Vegas au South beach, Miami.
Just stay ready and work on that bikini body...
Nimeoteshwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unajuaje kinywaji pendwa cha ngabu???
Bwana nilikwambia ukiniita hivyo naona aibu. Ile video kuna mtu aliniambia nimejishaua kama Kim K [emoji2][emoji2][emoji2]
Aisee nakumind mizigo yote ninayoitamani unaichukua kilainii
Chupa 5,500Na wangekunywa Heineken ngapi?
Wewe unajuaje kinywaji pendwa cha ngabu???
Ana nyota kali tu. [emoji2][emoji2]Aisee nakumind mizigo yote ninayoitamani unaichukua kilainii
Mi nawajuaje sasa. Wewe ndo uniambie maana unawajua [emoji23][emoji23]Kwani uongo lakini?
Mchuchu gani humu JF anakufikia?
Nitajie mmoja tu....
Mwambie mie niko huru anichukue tu. Kwanza mwenyewe namtakaTeh teh teh
Hamna bana.
Wewe nilishakuacha rasmi siku ile.Ana nyota kali tu. [emoji2][emoji2]
Siku ipi bby? Mbonw sina taarifa. Unaniachaje kimya kimyw?Wewe nilishakuacha rasmi siku ile.
Nakusubiri urudi twende kule kwanza kabla ya Vegas. Bikini body soon bby soon.
Basi bby nimeamini we ni neiba ake.