RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Asante maana nilishindwa kujibu.
We acha bhana... yaani koooooooooooote tunaweza kasoro kwenye hospitality industry peke yake!!! Serious?! What's so special?!
Kwanza kama kumbukumbu zangu zipo sawa, UDOM ipo ama Tourism & Hospitality Management, au BCOM in Hospitality Management or both! Likewise, SUA nako kama sikosei kuna Tourism & Hospitality Management! Kwahiyo sio sahihi kwamba hatuna shahada zinazohusiana na hospitality industry!
Sehemu pekee ninayoona tatizo ni kwenye front office management/customer care lakini hizi ni nafasi ndogo sana!
WHY Kenyans?! Sioni cha maana zaidi ya Kiingereza chao kisichovutia kukisikia though ni wazuri pia kwenye front office kulinganisha na wapiga soga Watanzania