Radi za leo/jana usiku zimekukuta unafanya nini hadi ukamkumbuka muumba wako?

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Hizi radi aisee ni balaa.

Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali.

Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa kabisa nikadhan ndo mwisho wetu pale. Hali imekuja kutulia nikapata usingizi mmoja asubuhi mtoto anadai chake ikabidi nistue kimoko ndo achukue ujira wake.
 
Mashine inasinyaa?? Hiyo sio mashine ni nyamtepeto
 
Hizi radi aisee ni balaa.

Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali.

Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa kabisa nikadhan ndo mwisho wetu pale. Hali imekuja kutulia nikapata usingizi mmoja asubuhi mtoto anadai chake ikabidi nistue kimoko ndo achukue ujira wake.
Mashine inasinyaa?? Hiyo sio mashine
Njoo uitest, naweka bet 300k kama hautoikimbia
Nyamtepeto huna lolote, eti mwanaume mzima unaogopa radi
 
Oya. Sio radi za jana, nyie mtakua mikoani aisee.

Kuna moja ilipiga dirishani kabisa ikavuka kioo cha aluminium na lile pazia zito nikaona ghafla mwanga mkali mweupe nikadhan jini kustuka kumbe ni radi
Poleni sana mliopo dar
 
Mashine inasinyaa?? Hiyo sio mashine

Nyamtepeto huna lolote, eti mwanaume mzima unaogopa radi
Matusi mengi ya nini? Si uje upime huo uanaume sasa, njoo unigonokee mamaaa uone kama hutoomba poo.

Na kuhusu radi hakuna mwanaume anaependa kifo, nmeshashuhudia radi inakata mti nikiwa field Canada
 
Oya. Sio radi za jana, nyie mtakua mikoani aisee.

Kuna moja ilipiga dirishani kabisa ikavuka kioo cha aluminium na lile pazia zito nikaona ghafla mwanga mkali mweupe nikadhan jini kustuka kumbe ni radi
Yaani unavyo simulia ni kama vile radi ikipiga sehemu moja ni nchi nzima inasikika!!ina wezekana hata sehemu tu za jirani na ulipo watu hawana hata habari(hawajasikia)
 
Radi haikuwa ya kawaida,
Niliogopa kwa kweli,
Ilibidi nikakale na wangu maana niliwakuta wapo macho wanaogopa
 
Yaani machine inasinyaishwa na radi?

Ukienda sumbawanga utatoomba wewe?
 
Back
Top Bottom