Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,762
- 21,843
Hii yote ni kwa sababu media karibia zote za Tanzania zimeacha PROFESSIONALISM, zimeacha kuipasha jamii habari ambazo ziko balanced, wameleta censorship kwenye uhabarishaji wa jamii.
Kibaya zaidi, wame-side na chama tawala (CCM) na kukubaliana na kila wanaloambiwa.
Matokeo yake media za nje ya nchi kama Radio 47 imejipatia umaarufu mkubwa hivi karibuni na ndiyo radio inayoongozwa kwa kusikilizwa hapa Tanzania kwa sasa.
Ukitaka ujue ni kwa kiasi gani media za Tanzania hasa Radio zina hali mbaya, basi waulize watu kadhaa kama huwa wanasikiliza Radio, kisha waambie wakuorodheshee vipindi japo vitatu tu kama wataweza.
Hii ni tofauti na zamani ambapo majority ya wananchi walikuwa wapenzi wakubwa wa Radio na walikuwa wanajua vipindi vya kuanzia asubuhi mpaka usiku wa manane!
Listen to Radio 47 103.0 FM from Nairobi live on Radio Garden: Listen to Radio 47 103.0 FM from Nairobi live on Radio Garden