Nimeona mtangazaji wa hiyo redio amepost screenshots , chawa wa Samuya wameanza kumpa vitisho kwenye mitandao kama WhatsApp na Facebook.
Hawa watu ni wajinga sana , siku zote madhara ya censorship ndio hayo , huwezi kuzuia serikali uchawara ya wauaji isisemwe ukiamini kila mtu ataangalia TBCCM katika zama hizi za dijitali bali watu watatafuta habari kwingineko na watahamishia muda wao kusikiliza habari hizo.