The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,663
- 2,293
Ok asanteNdiyo mkuu..inatumiwa na kabila la Waganda
Ok asanteNdiyo mkuu..inatumiwa na kabila la Waganda
Huko kutakuwa ni kuingilia uhuru wa habari.Nawaza kwanini rais wetu haongei na uhuru kumwambia awaonye hao wanaomdhihaki
Sijakuelewa kabisa!Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani
Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
Lakini ukiona anatembea uchi huwezi kumuacha, unamstiri kidogo.Sisi tuendelee kumuombea, baba ni baba hata aweje ndio wetu huyo! Tulijichanganya 2015....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ni wivu! Sisi hatuna lockdown lakini Kenya wanayo na bado cases zao ni nyingi kuliko zetu!Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani
Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
Ndivyo alivoKuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani
Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
Hivi DPP wetu ananagalia tu bila kuwafungulia mashtaka?? Hatuwezi kuwa na nchi ya namna hii. Rais anabezwa na watu tunaangalia tu. Lazima nchi yetu ichukue hatua. Lumumba fcKuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani
Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
Mmh!Kuna walevi wako vizuri mzee! Uhuru ni mtu sana yule! Unamkumbuka Rais wetu wa 1995 - 2005?
Sent using Jamii Forums mobile app