Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

Sijakuelewa kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa Sababu kubwa ni wivu! Sisi hatuna lockdown lakini Kenya wanayo na bado cases zao ni nyingi kuliko zetu!
 
Ndivyo alivo
 
Hivi DPP wetu ananagalia tu bila kuwafungulia mashtaka?? Hatuwezi kuwa na nchi ya namna hii. Rais anabezwa na watu tunaangalia tu. Lazima nchi yetu ichukue hatua. Lumumba fc
 
Kuna walevi wako vizuri mzee! Uhuru ni mtu sana yule! Unamkumbuka Rais wetu wa 1995 - 2005?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh!
Uhuru unamjua vizuri mkuu? Jaribu kumuangalia akishapiga urabu na speech zake za matusi kwa wananchi yaani mbele ya kadamu mnasi, ndio uzuri wake kutukana mbele za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…