Tunasubiri kampeni zianze turuke mubashara na mgombea wetuNi wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
azam atampiku dialo, azam ana mredio wake unaitwa Ufm unakata mawimbi kukaribia mikoa ya kati, pia kuna viredio vya dini navyo vinakuja juu kwa usikivu mzuri nchi nzimaTransmitter zake za mikoani zimefifia sana mikoa mingine haisikiki tena
Ipo ila ni wiki sasa hawaeleweki kabisaHivi bado ipo hii radio?
Mimi siyo msukuma ndugu. Anyway thanks for making me laughWasukuma mna shida sana, unataka utume salamu?
Kwa hilo ni kweli ila nauliza hata kusoma magazeti kutoka Mwanza wameshindwa? Kujiunga na BBC asubuhi nayo wameshindwa?Radio Free Africa na Azam Tv ni mapacha wenye aleji na mvua, hivi vituo viwili havipatani na mvua kwani kukiwa na mvua matangazo yake hukatika. RFA magazeti husomwa toka Dar es Salaam Kinondoni huku wakiunganishwa na kituo kikuu cha kurusha matangazo kilichoko Mwanza lakini kukiwa na mvua mawasiliano hukatika na tatizo hili lipo tangu RFA ilipoanzishwa na kwa miaka yote wameshindwa kulitatua tatizo hilo vivyo hivyo na Azam Tv nayo mvua ikinyesha matangazo husikia baridi na kutetemeka! Nao tangu kituo kianze wameshindwa kulitatua tatizo hilo kutokana na vifaa wanavyotuuzia kuwa ni vya hali ya chini sana kiasi inawalazimu watumie gharama kuvifanyia matengenezo bure! Hii si bure kwani mwisho wa siku mteja unaambiwa ununue kingine ambacho nacho hakitadumu huku TBS( Mamlaka ya Viwango) ikiwagwaya.
Mimi pia redio yangu pendwa asubuhi. Namtafuta Dialo nimpe matangazo aweze kulipa wafanyakazi!Hii ndo Redio yangu bora kwa vipindi vya asubuhi hasa DW na Magazeti lakini hata mimi nashangaa wiki nzima wanaweka muziki tu mara matangazo yakate inakua kimya.
Dialo kama kashijdwa bora aiuze kwa Jambo.
Ni redio nzuri sana kwa vindi vya asubuhi sielewi wamekwama wapihii redio inayumba sana, mara wapotee hewani kwenye masafa yao
Inasikika nchi nzima?Jambo 106.9 fm Mwanza
Mapinduzi ya tasnia ya radio nchini Tanzania, kwa mwanzo huu naimani kubwa ya kuwarudisha watu katika kisikiliza redio kama ilivyokuwa miaka ya 90-2000 kupitia Jambo fm,, wamejipanga vizuri sana,, nawatakia kila lenye kheri kwao,,
Hiyo ni ya nani mkuu na imeanzishwa lini?Jambo 106.9 fm Mwanza
Mapinduzi ya tasnia ya radio nchini Tanzania, kwa mwanzo huu naimani kubwa ya kuwarudisha watu katika kisikiliza redio kama ilivyokuwa miaka ya 90-2000 kupitia Jambo fm,, wamejipanga vizuri sana,, nawatakia kila lenye kheri kwao,,
walijipatia umaarufu na kuwa redio ya tatu kusikika nchi nzima ila sasa kuna mahali wanakwamaNi redio nzuri sana kwa vindi vya asubuhi sielewi wamekwama wapi
Siyo redio ni redio, wana vipindi vizuri?azam atampiku dialo, azam ana mredio wake unaitwa Ufm unakata mawimbi kukaribia mikoa ya kati, pia kuna viredio vya dini navyo vinakuja juu kwa usikivu mzuri nchi nzima
imejaza vipindi vingi ni vya michezo tuSiyo redio ni redio, wana vipindi vizuri?
Imeanzishwa mwaka huu na mmiliki ni tajiri mmoja wa Shinyanga ambaye pia anamiliki kiwanda cha maji ya JamboHiyo ni ya nani mkuu na imeanzishwa lini?
Ngoja na Mimi nianzishe redio itakayotuliza redio zote mjini.Imeanzishwa mwaka huu na mmiliki ni tajiri mmoja wa Shinyanga ambaye pia anamiliki kiwanda cha maji ya Jambo
Mvua, maji yanajaa studio.Kwa hilo ni kweli ila nauliza hata kusoma magazeti kutoka Mwanza wameshindwa? Kujiunga na BBC asubuhi nayo wameshindwa?
Alafu inapoteapotea hewani mara kwa maraNi wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???