Radio Free Afrika mnamchukia Mkapa?

Radio Free Afrika mnamchukia Mkapa?

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
RFA Kuna clip ya hotuba za maraisi wote wa Tanzania, waliotangulia na aliyepo lakini hotuba ya Mkapa hakuna. Je mnachukizwa na nini hadi kumchukia hivyo?
 
Kulko nskilze iyo redio n bora niskilze kile kipaza saut cha wamachinga wanaouza dawa za mbu kunguni kusajil line n.k
 
Hizi hufanya kile mmiliki wake anapenda. Wamiliki wa redio za namna hii wakumbuke wanatumia masafa ya umma kurusha matangazo yao, warushe mambo ya umma kwa faida ya taifa. Mkapa alikuwa rais kwa vipindi vyake viwili na kuna hotuba zake nyingi wananchi wanapaswa kuzisikiliza kama ilivyo kwa viongozi wenzake wengine
 
Back
Top Bottom