Hizi hufanya kile mmiliki wake anapenda. Wamiliki wa redio za namna hii wakumbuke wanatumia masafa ya umma kurusha matangazo yao, warushe mambo ya umma kwa faida ya taifa. Mkapa alikuwa rais kwa vipindi vyake viwili na kuna hotuba zake nyingi wananchi wanapaswa kuzisikiliza kama ilivyo kwa viongozi wenzake wengine