ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Ahaaaa naona wamefikia kumfungia paka ndani huku wao wakiwa ndani kibaya zaidi wameshika fimbo kumpiga na madirisha yamefungwa. Subiri mziki wake watatafuta mlango hawatauona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuu mkuu ni swala la muda tuuNa wanchama hasa wa jf tutalazimishwa kujisajili upya kwa kitambulisho cha taifa na kila komenti itakua na namba ya simu kabisa, na hapo ndio itakua mwisho wa jf
Hata Maisha ya JF yaliyobakia sio marefu sana kwa sheria hizi!!! Halafu Kuna watu wanaiunga mkono hii serikali na sheria zake dhalimu.
Mkuu Ungana na familia yakoSerikali hii tuungane kuiweka pembeni mwaka huu!
Lasivyo miaka mitano ijayo itakuwa ya hovyo Sana!
Jisemee wewe binafsi.Safi sana, huyu Lissu akiinama mshale, akisimama mshale akichuchumaa hivyo hivyo hadi atambue kuwa watanzania hawampendi
Hizi sheria alie zitunga Yesu amsamehe tu
Naungana na wale wote wanaotaka kuiweka serikali hii pembeni!Kama umeumia na unateseka basi nisamehe bure, kura yangu kwa Lissu!Mkuu Ungana na familia yako
Kama unaweza kawafowadie kwenye magroup yao. Wanatakiwa wavinunue vifaa fasta. Hasa hasa liveUsolo.Noted
Wanayo pesa?Wapinzani fungueni online tv nje ya nchi. Waambie watu wa subscribe na kushare link. Kisha rusheni matangazo mubashara. Nunueni video camera, blackmagic atem hd na live U solo. Mfanye haraka kabla ya kampeni. Hakuna chombo chochote cha habari kitakacho waonesha.
Rekodini hotuba zenu kwa video na audio kisha tumeni nchi zima watu watapeana kwa memory card na bluetooth. Tcra hawawezi kupiga faini bluetooth na memory card.
Wapinzani muwe serious katika hili. Kulalamika mitandaoni hakutasaidia kitu chochote.
Delete ccm Oct 28TCRA imekituhumu kituo cha utangazaji cha RFA kukiuka kanuni na maadili ya utangazaji kupitia kipindi cha 'amka na BBC' kwa kurusha maudhui bila kuzingatia mizania ya habari walipokuwa wanamuhoji Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu juu ya viongozi wa chama hicho kutoshiriki kutoa heshima za mwisho kwenye msiba wa hayati Benjamin Mkapa.
TCRA imesema mtangazaji wa kipindi aliruhusu kurushwa habari iliyoegemea upande mmoja kwa Lissu kutoa tuhuma na kulalamika kuwa serikali ilimnyima nafasi ya kutoa heshima za mwisho bila kumtafuta msemaji wa serikali ili aweze kutolea ufafanuzi tuhuma hizo.
RFA wanatuhumiwa kukiuka kanuni Na. 15(2)(b) na (c) na 16 za mawasiliano ya kielektroniki na Posta(Maudhui ya Utangazaji na Televisheni) 2018.
Najua upo kazini. Lakini najua pia njaa haina chama. Kwa hiyo nina uhakika uchaguzi huwapi kura CCM. Ila usiwe na wasiwasi naogopa nisijekukuharibia kazi yako.Wanayo pesa?
Utakuta hapo wanasubili beberu litume pesa za kampeni
Alafu wewe unaleta mambo ya tv?
Mwaka huu bila beberu mtakuwa tepe kama uji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mtafurahi mwaka huu.Serikali ndiyo ya kishamba, dawa ni kuipiga chini!