Radio Free Afrika watakiwa kujieleza kwanini wasiadhibiwe kwa kurusha kipindi cha 'Amka na BBC' bila mizania

Hizi habari za BBC na DW pia zinapatikana online ivyo from today onward tutakuwa tnawasilikiza online
 
Jf najua kabisa nayo haitakuwepo duniani itapigwa itafariki dunia kazi hiyo itaongozwa Na Mataga
 
Natamani nije nikapige kura nilipo jiandikisha hata kama nauli kwenda na kurudi ni laki na sitini, vitu vingine vinatia hasira sana
 
Najua upo kazini. Lakini najua pia njaa haina chama. Kwa hiyo nina uhakika uchaguzi huwapi kura CCM. Ila usiwe na wasiwasi naogopa nisijekukuharibia kazi yako.

Nakutakia kazi njema ya kusifia.
Njaa haina chama.

Ukiwa naa akiri timamu jiulize toka 2015 pesa zote za ruzuku na zile mnazokata wabunge mmefanyia nini?
Je kuna kibanda mmejenga?
Kipi kipya kimeongezeka kutokana na hiyo ruzuku?
Je hiyo pesa ni ndogo sana kwenye hicho chama?
Je pesa za wabunge kwa ajili ya kampeni zipo?
Ukipata majibu hayo njoo tuzungumze.
 
Serikali ya hiki chama cha watoa rushwa na wala rushwa ni inferior sana. Sijui kwa nini
 
Watanzania watakwambia media zinaonewa wapitie hizo kanuni za regulator wa mabeberu ☝sheria zetu zina afadhali. Upuuzi BBC unaofanya africa awawezi thubutu kuufanyia kwao...
Unaamini ulichoandika mkuu? Ni mawazo yako au ni mawazo pole pole? Na kama ni mawazo yanayo weza aminika, hapa unatushauri tufanane na ‘mabeberu’?
 
Wameambiwa na TCRA ni marufuku kwa vituo vya Radio na Tv za ndani kujiunga na hayo mashirika ya nje bila kupata kibali. Kazi kweli kweli...yaani ni pini kwa kwenda mbele kuelekea uchaguzi.
Main stream media kwa sasa hazina impact kubwa kama social networks tuhamie huko
 
Miaka yote vimekuwa vikisikika Tanzania kwanini viwe chanzo cha mitafaruku leo.
 
Nchi imekabidhiwa washamba - Zitto
Ni Makamba ama Zitto aliyetoa statement hiyo? I can't recall. Ila nakumbuka Januari Makamba naye aliandika mudhui kama hayo kwenye twitter
 
Hahaha hawataki Muungano hawa kumbe?!
"Radio FREE Africa" Free DOOM.
 
Unaamini ulichoandika mkuu? Ni mawazo yako au ni mawazo pole pole? Na kama ni mawazo yanayo weza aminika, hapa unatushauri tufanane na ‘mabeberu’?
Wewe ndio wakijiuliza hilo swali unaamini TCRA wamekosea kweli au unapenda kupinga tu.

Tatizo liko wapi vyombo vya habari kuitwa kutolea ufafanuzi maudhui ambayo TCRA yanaona sio balanced sheria iliyovunjwa wamekuwekea hapo kukwepa ‘misrepresentation’ lazima walau kuwe na jitihada za kupata upande wa pili.

Ndio maana saa zingine unasikia vyombo vya habari baada ya kuripoti malalamiko ya upande mmoja vinakueleza harakati za kupata upande wa pili azikufua dafu ukipiga simu mtu anaetakiwa kutolea ufafanuzi jambo analoshutumiwa apokei/apatikani au chochote kuonyesha ulijaribu you are off the hook.

Media za vijana wadogo tu wanajua hilo iweje taasisi kubwa ishindwe kuelewa.
 
Hivi ni kitu gani wanachoogopa CCM kama tayari uhakika wa ushindi wanao tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…