Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Nina mashaka na uelewa wako unaposikiliza redio imani,redio muda wote mnalalamika tuu ooh waislamu tuaonewa na kupandikiza chuki dhidi ya wasio waislamu. Redio moja tabu. Mbona wakristo na wengine na stesheni nyingi za redio ila hakuna hata moja niliyowahi sikia wakilalamika wanaonewa au kukashifu imani za watu wengine. Mtalalama hadi lini na kupandikia chuki????Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa Tanzania. MUNGU IBARIK RADIO IMAAN,MUNGU IBARIK TANZANIA.