Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Hii radio kila nisikilizapo napata kitu kipya na muhimu sana katika maisha yangu. Radio zote bongo zingekuwa kama radio Imaan hakika tungekuwa mbali sana. Nasikiliza Radio Imaan hapa mkombozi wa Tanzania. MUNGU IBARIK RADIO IMAAN,MUNGU IBARIK TANZANIA.