Radio One ni wanafiki na wazandiki, Tarehe 29 October 2026 hawakurusha matangazo ya BBC asubuhi na jioni

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,846
Reaction score
6,838
Ikiwa ni siku ya maombolezo kitaifa, kutimiza mwaka mmoja tangu utawala dhalimu wa Samia Suluhu Hassan uuwe watu wasio na hatia, kisha akazima mtandao wa internet na kisha kujitangaza kuwa raisi na kwenda kujiapisha porini.

Jana Radio One chombo cha IPP Limited wakaamua kuzima kabisa matangazo ya BBC idhaa ya Kiswahili, asubuhi na jioni.

Hiki ni miongoni mwa vyombo vya kichawa na chombo hatari sana, hata watu wakitekwa ama kupotezwa kamwe hakitangazi.

Chombo hiki cha kimamluki ni cha kukiogopa kama ukoma
 
Tatizo sio wao ... Kumbuka Bashite Albert ndio anaogopwa asije akawafanyia walivyofanyiwa Clouds
 
Naam hivyo vyombo viko kwenye state abduction , although kwa umoja wao wanaweza reverse ila huo umoja ndio hawana
 
Back
Top Bottom