Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Hamuwezi wewe na nani..........?
Ajabu! Labda anataka wote tusikilize radio nanihii ya Morogoro!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuwezi wewe na nani..........?
Kule jukwaa la dini sioni watu ....Habarrrrr njema kwa wenye matatizo ya vizazi, kwa mara yakwanza katika maisha yangu nilisikia jana kuwa kuna spea za kizazi..... INAWEZEKANA???
Haya ndio madhara ya matumizi ya pombe aina ya viroba,mkiambiwa muache hamtaki, mimba mchokonoe wenyewe vizazi viharibike eti mungu awape spare.? Nina mashaka na huyo mungu kwakweli... Na kama ni ivyo duniani hakuna dhambi..
Duh hii habari nzito, ila inategemea na imani ya mtu
Mungu hashindwi na chochote lkn
Kwanza nikusahihishe........mimi siishi Arusha.....na kinachokuaminisha kuwa naishi huko sijui ni nini......
Pili.......wewe kama huwezi kuvumilia na kwako ni ya kipuuzi......basi jua kwa wengine ni radio muhimu sana na wanaiheshimu........sio uungwana kuingilia imani ya watu kwa kauli kama yako........
Ni hayo tu......
Seems like hujielewi.....Ni aibu kwa mwanaJF kusikiliza radio kama hii!