Radio Station: Bei ya vifaa vya kurushia matangazo (Transmission)

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.

1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power

Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.

2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.

3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=

4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398 – 399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)

Inauzwa Tshs 9,648,000/=

Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.

Tuwasiliane: PM

Kwa maelezo ya kina juu ya kuanzisha radio station fungua hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...gharama-halisi-za-kuanzisha-radio-kwa-tz.html
 
Napenda sana kumiliki radio.
But ningependa nipate masafa mikoa ya Dar,Pwani,Moro.
Hiyo inawezekana mkuu?
 
Moro unaweza pata hata Pwani japo ya Pwani yanaweza kuwa na limitation ya kutokufika Dar. Kwa Dar kidogo ni kazi pevu sana kwa kifupi ni ngumu kupata
 
Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.

1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power

Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.

2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.

3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=

4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398 – 399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)

Inauzwa Tshs 9,648,000/=

Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.

Tuwasiliane: PM

Kwa maelezo ya kina juu ya kuanzisha radio station fungua hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...gharama-halisi-za-kuanzisha-radio-kwa-tz.html

I will come back to you as we deeply discussed last year.
 
kale ka mpango kangu ka fungua karedio ka familia kamekamiika
 
Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.

1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power

Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.

2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.

3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=

4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398 – 399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)

Inauzwa Tshs 9,648,000/=

Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.

Tuwasiliane: PM

Kwa maelezo ya kina juu ya kuanzisha radio station fungua hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...gharama-halisi-za-kuanzisha-radio-kwa-tz.html

Kwa nini mkuu bei ya bidhaa nyingi kwenye huu uzi wako vyote vina gharama ya 9,648,000/=? Ila Mkuu niliwahi kukutana na hii kitu kwa zile radio za kijamii hebu tupe ujuzi wako kwa hivyo vifaa vya community radio. Vinafaa kwa kuanzishia kijiredio uchwara cha huku vijijini? Asante sana mkuu, kwa kweli wewe ni wa msaada mkubwa sana hapa jamvini kwa maswala ya radio, ubarikiwe sana mkuu.
 
Attachments

Mkuu, hiyo bei imelingana lingana sababu ya uwiano wa vifaa, yaani bei imerandana kulingana ubora wa kifaa kitakachotumia, kumbuka hivi vifaa vyote utavifunga kufanya kazi pamoja, sasa ukiweka cha bei ya chini kitatofautiana ubora na kile kingine na kushindwa kufanyakazi iliyotakiwa.

suala la radio za jamii au hata za kibiashara linategemeana na wewe, unajua unaweza kutafuta vifaa uchwara ukaanzisha radio uchwara na mambo yote yatakuwa uchwara kwasababu gani unajua, hivyo vifaa vitakuwa vinaharibika kila wiki utatumia bei kubwa sana kuvitengeneza na zaidi hata ya vifaa original.

Mfano unaweza kutapa Mixer mpaka kwa Tshs 250,000/= na ukaitumia kwa studio ya radio lakini hii haiwezi fanya kazi masaa 24 siku 7 za wiki itakufa ndani ya miezi tu na utaenda kununua tena, ndo maana unakuta unauziwa Mixer kwa Tshs 3,000,000/= kumbe uimra ndiyo jambo.

Ukijipinda kusuka radio kwa vifaa vya bei ya chini hata milion 5 tu zinaweza kununua vifaa vyote vya studio kasoro transmitter tu na antena na STL
 
Radio Producer tunashukuru kwa Elimu yako na nilikusoma pia kule kwenye topic gharama za kuanzisha radio,thanks...i wish tungekuwa na wengine ambao wako deep na sio wachoyo kwenye angle nyingine za maendeleo.
 
Karibu sana Koba!
 
Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.

1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power

Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.

2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.

3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=

4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398  399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)

Inauzwa Tshs 9,648,000/=

Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.

Tuwasiliane: PM

Kwa maelezo ya kina juu ya kuanzisha radio station fungua hapa: https://www.jamiiforums.com/busines...gharama-halisi-za-kuanzisha-radio-kwa-tz.html
Mkuu hii ni FOB price right?vp CIF price?
 
Kwa Bongo(DSM) si nasikia Frequency za kurusha FM zimejaa? (Kwa Mujibu wa TCRA)
 
Back
Top Bottom