Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.
1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output power
Bei yake ni Tshs: 9,639,960/=
Ikifungwa vizuri eneo zuri lisilozungukwa na miinuko inaweza kurusha matangazo kati ya Kilomita 100 mpaka 200.
2. Transmitter: Sielco 2000Watts inauzwa Tshs 18,331,200/= inauwezo wa kurusha matngazo kati ya kilomita 200 mpaka 400 kutegemeana na eneo lilivyo.
3. 2KW 4x114FM antenna with power divider and interconnecting c ables 50m low loss cable. Hii ni antena ya radio yenye antena 4 ya 4 dipole, inauzwa Tshs 9,648,000/=
4. STL (Studio Transmitter Link) STL 398 399.9 MHz with 2x9dB yagi antenna and 2x 50m low loss cables antenna clamps and cable clamps (mitambo ya kurusha matangazo kutoka studio mpaka ulipo mnara wako.)
Inauzwa Tshs 9,648,000/=
Bidhaa zote hufika ndani ya wiki 2, ni kutoka Australia na UK.
Tuwasiliane: PM
Kwa maelezo ya kina juu ya kuanzisha radio station fungua hapa:
https://www.jamiiforums.com/busines...gharama-halisi-za-kuanzisha-radio-kwa-tz.html