utasikia ninamshukuru rais samia suluhuUtafurahi ukiona wanawahoji viongozi lakini huku kwetu wanajichekesha na kuwapa maswali rahisi
Hizi za kwetu zinazomilikiwa na wapakwa mafuta ya Pdidy ziko kitoto sanaNiko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na dw au bbc kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.
Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka usiku wakitoka hapo eti ni mashamsham ya pwani. Kwa kweli sisi watanzani tumejaa umbumbumbu tu hakuna chochote tunachojua. Ikitokea tukawa wamoja kwenye shirikisho la afrika mashariki kila kitu basi tutaambulia patupu.
Mfumo qetu ndiyo unataka hivyoNiko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.
Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka usiku wakitoka hapo eti ni mashamsham ya pwani. Kwa kweli sisi watanzani tumejaa umbumbumbu tu hakuna chochote tunachojua. Ikitokea tukawa wamoja kwenye shirikisho la afrika mashariki kila kitu basi tutaambulia patupu.
Ushauri wako, tufanyeje sasa mkuu?Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.
Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka usiku wakitoka hapo eti ni mashamsham ya pwani. Kwa kweli sisi watanzani tumejaa umbumbumbu tu hakuna chochote tunachojua. Ikitokea tukawa wamoja kwenye shirikisho la afrika mashariki kila kitu basi tutaambulia patupu.
Siyo kuiga bali uhuru kamili wa vyombo vya habari unatakiwa!Sio kila linalofanyika Kenya ni lazima lifanyike Tanzania...msipende kuiga iga nyie Gen Z ..nyie haya tu!
Mimki siwezi kucomment ila naungana na wewe. Cha muhimu ni kujiuliza tumefikaje hapa, tumefikaje kwenye mkwamo wa namna hii, je ni elimu yetu|? je ni tamaduni zetu? je ni ujinga wetu? . Kuna andiko niliandika kipindi fulani ingawa halikuchangiwa na mtu hata mmoja, na hapo ndipo nikagundua kumbe inabidi kuandika mambo marahisi, sisi hatupendi nondo ngumu zenye kufikilisha.Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.