Radio stations za Kenya zipo mbali sana kiuchambuzi kuliko za Tanzania ambazo ni udaku tu

Radio stations za Kenya zipo mbali sana kiuchambuzi kuliko za Tanzania ambazo ni udaku tu

Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW au BBC kusikikiza issues. Hizi hizi zinatosha.

Huku kwetu sasa ni mipira tu kuanzia asubuhi mpaka usiku wakitoka hapo eti ni mashamsham ya pwani. Kwa kweli sisi watanzani tumejaa umbumbumbu tu hakuna chochote tunachojua. Ikitokea tukawa wamoja kwenye shirikisho la afrika mashariki kila kitu basi tutaambulia patupu.
Media za bongo almost zote ni chawa chawa chawa, haziko free zina fance tune ya serikali

Implication yake ni zote zinatangaza habari zinazofanana, hakuna creativity wapa investigative journalism

Kenya ni different story
 
Back
Top Bottom