radio ,tv na maadili yetu....

radio ,tv na maadili yetu....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
hivi mnalionaje suala la maadili na vyombo vya habari?????
mi naona kadri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaaya.
sasa kuna vipindi vya redio,hasa vya taarabu,matusi imekuwa kawaida..
kwenye tv ndo usiseme,
halafu utamaduni wetu wa kitanzania unapotea taratibu,unaweza
sikiliza radio ukakuta ni habari za USA kama vile tupo USA.hasa kwenye entertainment....
TBC nao wanarusha vipindi vya MTV,,,,,,,
HIVI hakuna mtu anaehusika na national culture kabisa??????????
 
Back
Top Bottom