Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Doh kwahiyo wanaona raha wenzao wanavyonyanyaswa sio? !Subir team nanii waje, maana wao kila kitu wanapinga
Kuna manyanyasoKwanini ruge tu, Kuna nini pale? Tokea kina sugu mpaka kina rubi na wengine!!!!
Yani many any aso? What do u mean?Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Mengineyo kama hayoYani many any aso? What do u mean?
Jiulize kwanini uzi wako umekosa comments?Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Tumewachoka au wewe ndo umewachoka..??? Usisemee mioyo ya watu. Epuka kuonesha mihemko hata kama una mapenzi au iterest na hiyo Wasafi Radio.Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
King Kiba ana TV na Radio toka zamani sema tu hapendi kiki na show off.Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
[emoji106]Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10
Vipi EFM si mlisema imekuja funika clouds na wasanii wamepata kimbilio mbona mpaka sasa hollah..Kwakweli Mungu yupo jamani