Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Vipi EFM si mlisema imekuja funika clouds na wasanii wamepata kimbilio mbona mpaka sasa hollah..
Clouds itabaki kuwa clouds mpaka Muumba atakaposema basi hiyo wasafi redio mpaka sasa bado haijaanza mshaanza kuicompare na clouds
Mambo mazuri hayahitaji haraka we tuliza ball utaona
 
Lakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikosea
Ni sheedah Acha wasafi wakuje
 
Walishajiona Miungu, lazima wabadlishe tabia zao tu, kuna wasanii wameunguza na kina Ruge mno mno, inasikitisha sana..
Sana rafiki Ni mbayaaa
Ndio mana watu skuhizi hawaskizi clouds wamerudi earadio
 
Kwan bongo kuna radio ngap? Si muende huko kwingne kwanini mkimbilie clouds. Mi naona sometimes ni ujinga, inakuaje mtu unapiga kelele eti mlimani city vitu bei mbaya wakat maduka yapo tu mengi mjini hapa ila shobo zako mwenyew ndio unakimbilia mlimani city.
Sawa kaka asante kwa povu
 
Kwakweli Mungu yupo jamani

Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...

Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni

Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...

Nawapongeza hao Wasafi kwa ujio wao huu wa kuwa na Media yao kwani wataongeza ushindani na hata kuleta ushindani katika Tasnia nzima ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ila tu wasijidanganye na hata Sisi Wadau tusijidanganye kwani kwa ' mizizi ' iliyojijengea Clouds Media Group na kwa sifa yao ya kuwa ' Wabunifu ' kila uchao itawachukua miaka hata 10 ijayo kwa Wasafi Media kuwakaribia na siyo kuwafikia Clouds Media Group ' Kiubora '. Hata Efm Redio ambayo Watu wengi ilipoanzishwa walikuwa wakiisifia na kudhani kuwa itaipiku na kuleta ' ushindani ' wa Kitija bado haijaweza kufanikiwa katika hilo na bado tu wanapambana kama siyo kujitutumua.

Clouds Media Group naifananisha na Chama cha CCM na hizo Redio zingine nazifananisha na Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT ambapo vinajitahidi kupambana lakini bado havijajizatiti kuweza kushindana.

Yangu ni hayo tu.
 
Nawapongeza hao Wasafi kwa ujio wao huu wa kuwa na Media yao kwani wataongeza ushindani na hata kuleta ushindani katika Tasnia nzima ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ila tu wasijidanganye na hata Sisi Wadau tusijidanganye kwani kwa ' mizizi ' iliyojingea Clouds Media Group na kwa sifa yao ya kuwa ' Wabunifu ' kila uchao itawachukua miaka hata 10 ijayo kwa Wasafi Media kuwakaribia na siyo kuwafikia Clouds Media Group ' Kiubora '. Hata Efm Redio ambayo Watu wengi ilipoanzishwa walikuwa wakiisifia na kudhani kuwa itaipiku na kuleta ' ushindani ' wa Kitija bado haijaweza kufanikiwa katika hilo na bado tu wanapambana kama siyo kujitutumua.

Clouds Media Group naifananisha na Chama cha CCM na hizo Redio zingine nazifananisha na Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT ambapo vinajitahidi kupambana lakini bado havijajizatiti kuweza kushindana.

Yangu ni hayo tu.
Asante kwa Povu
Tusubirie wasafi waje
Maana miziki yao tu Ni next level itakuwa TV na Radio yao?!

Soon and very soon we are going to see Wasafi Radio. .. clouds bye byeee
 
Bro sijaongelea diamond anawachukia clouds nimesema clouds wananyanyasa watu na wasanii
Watu gani wananyanyaswa na Clouds..?? Au wao ndo mnawanyanyasa kwa kuwavamia usiku na silaha.?? Halafu kesho mnasifiana "PIGA KAZI". Nadhani ingekuwa wananyanyasa wangeshakamatwa siku nyingi.

Au ni watu gani hao unaozungumzia..??
 
Back
Top Bottom