Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Tupe megahats za redio yake broKing Kiba ana TV na Radio toka zamani sema tu hapendi kiki na show off.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe megahats za redio yake broKing Kiba ana TV na Radio toka zamani sema tu hapendi kiki na show off.
Asee prof upo? ![emoji106]
Mambo mazuri hayahitaji haraka we tuliza ball utaonaVipi EFM si mlisema imekuja funika clouds na wasanii wamepata kimbilio mbona mpaka sasa hollah..
Clouds itabaki kuwa clouds mpaka Muumba atakaposema basi hiyo wasafi redio mpaka sasa bado haijaanza mshaanza kuicompare na clouds
Ahahahahaha safiiiKama unaenda Mbezi kupitia Goba ukiwa unatokea Mbezi beach [emoji124][emoji445]
Si mhaya mpenda misifaClouds hawana tatzo ila tatzo anaonekana kuwa ruge why ruge kila siku
Ni sheedah Acha wasafi wakujeLakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikosea
Sana rafiki Ni mbayaaaWalishajiona Miungu, lazima wabadlishe tabia zao tu, kuna wasanii wameunguza na kina Ruge mno mno, inasikitisha sana..
Hatumtaki huyo mtuWasafi inabid wamchukue Ruge awe mkurugenzi
Sawa kaka asante kwa povuKwan bongo kuna radio ngap? Si muende huko kwingne kwanini mkimbilie clouds. Mi naona sometimes ni ujinga, inakuaje mtu unapiga kelele eti mlimani city vitu bei mbaya wakat maduka yapo tu mengi mjini hapa ila shobo zako mwenyew ndio unakimbilia mlimani city.
Nenda instagram ya Mondi utajuaSawa....inaanza lini?
Hahahahaha uuuuwiNYIMBO ZA KIBA SIJUI ZITAPIGWA HUKO [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Atawasaidia jamanHatumtaki huyo mtu
Kwakweli Mungu yupo jamani
Yani kwa many any aso wanayotoa Clouds Fm kwa wasaniii wengi nchini ni afadhali WASAFI wameingilia kati wakaweka Radio na TV yao...
Tunaamini WASAFI hawana njaa za kuwanyanyasa wasaniii WA aina yeyote huko mbeleni
Clouds Fm tumewachoka, Mungu anawaooonaaa...
Akasaidie wahaya wenzieAtawasaidia jaman
Tunataka wa kumzika clouds fmIpo Efm..
Ni Efm pekee itamzika clouds fmTunataka wa kumzika clouds fm
Asante kwa PovuNawapongeza hao Wasafi kwa ujio wao huu wa kuwa na Media yao kwani wataongeza ushindani na hata kuleta ushindani katika Tasnia nzima ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ila tu wasijidanganye na hata Sisi Wadau tusijidanganye kwani kwa ' mizizi ' iliyojingea Clouds Media Group na kwa sifa yao ya kuwa ' Wabunifu ' kila uchao itawachukua miaka hata 10 ijayo kwa Wasafi Media kuwakaribia na siyo kuwafikia Clouds Media Group ' Kiubora '. Hata Efm Redio ambayo Watu wengi ilipoanzishwa walikuwa wakiisifia na kudhani kuwa itaipiku na kuleta ' ushindani ' wa Kitija bado haijaweza kufanikiwa katika hilo na bado tu wanapambana kama siyo kujitutumua.
Clouds Media Group naifananisha na Chama cha CCM na hizo Redio zingine nazifananisha na Vyama vya CHADEMA, CUF na ACT ambapo vinajitahidi kupambana lakini bado havijajizatiti kuweza kushindana.
Yangu ni hayo tu.
Mbona haijazika mpaka sasaNi Efm pekee itamzika clouds fm
Watu gani wananyanyaswa na Clouds..?? Au wao ndo mnawanyanyasa kwa kuwavamia usiku na silaha.?? Halafu kesho mnasifiana "PIGA KAZI". Nadhani ingekuwa wananyanyasa wangeshakamatwa siku nyingi.Bro sijaongelea diamond anawachukia clouds nimesema clouds wananyanyasa watu na wasanii