kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Bei ina-range kuanzia laki tatu na nusu hadi laki 4, inategemea na unaponunulia.Hiyo CARTAOTAO android inchi 10 naipata Kwa bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ina-range kuanzia laki tatu na nusu hadi laki 4, inategemea na unaponunulia.Hiyo CARTAOTAO android inchi 10 naipata Kwa bei gani?
Hata mie nataka kujua ,nying za kichina nilizoziona ni dhaifu sana hasa upande wa amp na hazidumumkuu kali linux , ni brand zipi hizo za kichina ambazo ni durable? na bei zake zipoje
Hata mie nataka kujua ,nying za kichina nilizoziona ni dhaifu sana hasa upande wa amp na hazidumu
Sony ni best zinadumu ila ni ghali
Sound quality kwa redio za kichina ni issue, unless uwe huujui muziki,kweli inasemekana android radio brands za kichina nyingi hazidumu. Hivi kumbe pia zinakua hazina nguvu kwenye kupush sound quality?
Hivi Pioneer wana android version? nina experience na Pioneer non-android ambayo ina 'android auto'... ni jiwe sana, mwaka wa nne huu inapush mzigo safi kabisa! majuzi hapa ndipo accidentally nimeipasua touch screen na lcd ikamwaga wino, this is why nataka upgrade to android version.
Sound quality kwa redio za kichina ni issue, unless uwe huujui muziki,
I do prefer sony priducts over any makes, kuna moja nilinunua 2010 ,enzi hizo buletooth radio ndo zinaanza , hadi leo ipo inafanya kazi,
Pionerr android zipo , ila zinakuja kwa signature ya Carrozerria, shida kubwa ni bei, maana si chini ya dola 1000
Sio kufa tu hazina Features pia, wanaweka Android za Tablet zile na skin juu, Hupati features za Gari za Android Auto.duh dola 1000 ni parefu sana. Mkuu tuendee kusearch hizi chinese brands. Naona kuna hizi brands za kichina zina soko sana ulaya na marekani, na users wengi (kwenye online platforms) wanazirank vizuri... JOYING; EXTRON; TEYES; ATOTO. Zipo brands nyingi sana, ila hizo nne naona ulaya na USA zina soko sana. Cha kushangaza hizo brands hapa Bongo hazipo! nimeziulizia sana, na electronics platforms za Nairobi pia hazipo hizo chinese brands zenye soko ulaya.
Bongo zimejaa android radios za kichina ambazo ni 'no name' brand (Generic Android radios). Hizi ni kanyaboya tupu. Hazidumu, zinakufa chap sana!
Wateja wangu wengi nawafungia hii hapa
View attachment 2528094View attachment 2528092View attachment 2528093View attachment 2528094View attachment 2528095
Zinaitwa Cartaotao
1)Model inayosupport obd2 inakuja na male obd2 cable unayopachika pale kwenye obd2 port. Huoni inasoma hadi speed ya gari, temp etc...? Hizo data zinatoka kwenye obd2. Na hio sio kwa ajili ya diagnosis au hayo mambo ya scanning, ni kwaajili ya kuchukua Data tu za gari kutoka kwenye CAN.Leo ndo nimeona hii comment mkuu kali linux , kumbe hiyo android inasupport na OBD2 scanner? na TPMS? Halafu RAM 8Gb, STORAGE 128?
Hizo features ni very impressive! apart from 'quality' issue.
Mkuu, obd2 device inayomatch na hiyo radio unayo? Ama hadi kuagiza nje? na steering wheel control keys unazo?
Na je ipo compatible with any amp/subwoofer?
Nauliza hivyo coz baadhi ya Chinese android radios ni selective kwenye hizo accessories, zinasupport accessories za same brand model.
1)Model inayosupport obd2 inakuja na male obd2 cable unayopachika pale kwenye obd2 port. Huoni inasoma hadi speed ya gari, temp etc...? Hizo data zinatoka kwenye obd2. Na hio sio kwa ajili ya diagnosis au hayo mambo ya scanning, ni kwaajili ya kuchukua Data tu za gari kutoka kwenye CAN.
2)SWC nayo inafanya kazi vzr tu baada ya kufanya learning.
3)TPMS inahitaji extra utilities, ukiwekewa ma hizo utaona pressure za tyres hapohapo kwenye unit yako.
4)Kuna na cameras nayo ni extra kama TPMS, Model inayosupport cameras ndo hio hata reverse utakua unaona kwenye unit.
Note: hio msg uloquote nmeweka model tatu, na zinaweza kuwa extended kwa extra utilities. Ram na storage inategemea hela yako japo minimum ni 2GB.
Af nmeona sehemu mtu kasema zina shida ya ku-amp kwenye music, huyo itakua aliuziwa tablet tu na sio hio model sababu china mtoto wa miaka 16 ana factory yake chumbani, Ila Hizi zina hadi carplay na mziki mzuri tu unless speaker zako ziwe na shida. Cha muhimu avoid kutoa battery ghafla huku gari ikiwa switch on, zima gari kwanza (sio engine tu, key iwe off position) ndo utoe betri, kama ni dreva makini na mtumiaji mzr basi utaipa lifespan nzr tu
Bei ni sawasawa na IST used Kigoma!Kuna chinese brand nzuri tu, durable na bei affordable lkn kama unapendelea jina la brand basi tafuta Sony, Kenwood au pioneer japo kwa hizo brand bei inaanzia laki nane hadi 1.2M kwa android version