Radio ya USA leo watajadili Serikali ya Tanzania kukataa(Denial) ukweli wa Corona

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.

Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.

Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
 
Wenyewe wanamidomo ya kusema lkn ulishawahi jiuliza Tanzania yenyewe kwanini haisemi..?
Tanzania haichukui mkakati wa kupambana na korona lkn mbona inachukua mkakati wa kupambana na magaidi wanaotishia kutaka kuingia nchini!,mbona walichukua hatua wakati ule wa kimbunga..!
Unafikiri nini sahivi kwa wao kushindwa kuchukua hatua dhidi ya korona..??
 
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.

Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.

Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.

Sipingi kwamba Rais Dkt. Magufuli ana Mapungufu yake, ila naona hata Maudhui ya hii Redio nayo yana Mapungufu zaidi yake.
 
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.

Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.

Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
Badala ya kujadili nchi zao zenye wagonjwa na vifo vya kupindukia, wanaijadili Tanzania. Halafu nawwe ulivyo mpuuzi unatuletea mada ya kijinga hapa.
 
Kwan saizi tuna wagonjwa wa corona wangapi vifo na waliopona majameni maana mm sielew nazan corona bongo imeisha kabsa na tumeshinda vita au 🤔
 
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.

Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.

Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
We wache wapige nduru

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Badala ya kujadili nchi zao zenye wagonjwa na vifo vya kupindukia, wanaijadili Tanzania. Halafu nawwe ulivyo mpuuzi unatuletea mada ya kijinga hapa.

Kuna tofauti ya kuudhibiti ugonjwa na kuwa na idadi kubwa ya maambukizi.

Hapo ndipo relevancy au irrelevance ya argument yako inapofuata.

Karibu nyumbani mkuu.
 
Mnapenda kuleta taaruki watu walioko Dar wanandg Mikoani lkn sijasikia watu walioko huku wanalalamika kuondokewa na wapendwa kwa kiwango kikubwa kama kinachoenezwa na Makamanda,Hatukatai ugonjwa upo lkn kuna chumvi nyingi Sana zinaongezwa.

Vumilia mkuu. Wanasema "Zion train is coming our way".

Subiri baba. Laja, linakotoka kunawaka moto.

Walisema waungwana, "asiyejua kufa aangalie kaburi".

Kwa vile picha na maneno kuhusiana na makaburi yanayopigiwa kelele hayakutoshi, usikonde. Lisubirie treni la sayuni liko njiani.
 
Kwani likija wewe litakuacha
 
Back
Top Bottom