Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.
Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.