Yaani hii Radio ndiyo itaongelea watu kama wewe leoUmeleta takataka.
Umeleta takataka.
Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.
Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
Badala ya kujadili nchi zao zenye wagonjwa na vifo vya kupindukia, wanaijadili Tanzania. Halafu nawwe ulivyo mpuuzi unatuletea mada ya kijinga hapa.Leo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.
Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
We wache wapige nduruLeo nasikiliza radio ya taifa (NPR) topic yao kubwa ni jinsi Serikali ya Tanzania kukataa ukweli kuhusu Corona na kutumia nguvu na vitisho kunyamazisha watu. Wanasema vilevile wataongelea mazishi ya usiku usiku.
Nchi jirani kulalamika pia zitaongelewa kama Zambia kufunga mipaka na nchi nyingine zikifikiria kufanya hivyo baada ya mipaka yao na Tanzania kuwa na wagojwa wengi.
Tutasema Mabeberu lakini wanao ongea ni wananchi wa nchi jirani na Watanzania wenyewe.
Badala ya kujadili nchi zao zenye wagonjwa na vifo vya kupindukia, wanaijadili Tanzania. Halafu nawwe ulivyo mpuuzi unatuletea mada ya kijinga hapa.
Mnapenda kuleta taaruki watu walioko Dar wanandg Mikoani lkn sijasikia watu walioko huku wanalalamika kuondokewa na wapendwa kwa kiwango kikubwa kama kinachoenezwa na Makamanda,Hatukatai ugonjwa upo lkn kuna chumvi nyingi Sana zinaongezwa.
Kuna tatizo sisi hatutaki kujuwa kama lipo kwa sababu tunaamini halipo.
Kwani likija wewe litakuachaVumilia mkuu. Wanasema "Zion train is coming our way".
Subiri baba. Laja, linakotoka kunawaka moto.
Walisema waungwana, "asiyejua kufa aangalie kaburi".
Kwa vile picha na maneno kuhusiana na makaburi yanayopigiwa kelele hayakutoshi, usikonde. Lisubirie treni la sayuni liko njiani.