Radio ya USA leo watajadili Serikali ya Tanzania kukataa(Denial) ukweli wa Corona

Ebu semeni sasa mnataka magufuli afanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wewe kama tangia kabla ya ugonjwa kuingia hujui ilitakiwa afanye nini kuzuia ugonjwa kuingia, na hata leo kama hujui alitakiwa kufanya nini kuzuia ugonjwa kusambaa baada ya kuwa ugonjwa umeingia alitakiwa afanye nini ili ugonjwa usisambae, na hata sasa kama kweli hujui wanaolalamika wangependa afanye nini, kweli hata ukiambiwa sasa, utaelewa kweli mkuu?

Wewe komaa na genge tu mkuu, huku utajichosha bure.
 
Kwani likija wewe litakuacha

Kumbe unajua?

Makelele yote haya si chumvi. Kuna treni linakuja ndiyo maana kuna makelele ya kulisimamisha ili mimi na wewe na yule ambao halijatufikia lisitufikie yaani lituache.

Sasa kudai makwenu hujaliona sasa unataka lije maana huridhiki na makelele tu. Wataka kuliona. Ndiyo maana nikasema kama walitaka lisubirie.
 
Pole sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo treni litakugonga wewe na familia na ukoo wako wote ila watanzania utawaacha kama walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ukipata nafasi ya kuuliza swali kwenye mjadala huo, waulize

1. kwa nini jijini New York, wanalazimisha kila mgonjwa anayefariki anahusishwa na Covid19 bila hata udhibitisho?
2. Kwa nini UK wamebadili utaratibu wa rasmi wa kutoa death certificates nyakati hizi covid19?
 
Badala ya kujadili nchi zao zenye wagonjwa na vifo vya kupindukia, wanaijadili Tanzania. Halafu nawwe ulivyo mpuuzi unatuletea mada ya kijinga hapa.
Tanzania ni sehemu ya dunia
 
Saa ngapi mkuu?
 
Wanitafute Mimi niwe mmoja wao wa watakaoongea...siyo wanawapanga watu wa kuongea...
 

NPR Choice page

Text-Only NPR.org
 
Mortality and Natality rate are something unavoidable
 
Hiivi kweli jamaa anatuonesha kua ni nyoro kiasi hiki


Kweli ukae chattel kukimbia Covid-19 na kuwaacha wapiga kura mjini?

Amir jeshi muoga namna hii

Kwenye majanga yote kiongozi wewe si wa mfano

Kuna mahali tumetokwa na maarifa

Tunaona ila upo wakati tutaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa, tupunguze masihara jamani. Hakuna redio serious Marekani itatumia muda wake kujadili eti Corona ya Tanzania, achilia mbali Ebola ambayo ilikuwa issue kwa bara la Afrika tu. Corona ya Tanzania ni none-issue kwa Wamarekani ambao kimsingi imewapiga kiasi kwamba hawana hakika kesho yao itakuwaje - vifo vinaongezeka na uchumi unaporomoka vilevile.
 
Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takataka hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…