Mkuu wewe kama tangia kabla ya ugonjwa kuingia hujui ilitakiwa afanye nini kuzuia ugonjwa kuingia, na hata leo kama hujui alitakiwa kufanya nini kuzuia ugonjwa kusambaa baada ya kuwa ugonjwa umeingia alitakiwa afanye nini ili ugonjwa usisambae, na hata sasa kama kweli hujui wanaolalamika wangependa afanye nini, kweli hata ukiambiwa sasa, utaelewa kweli mkuu?
Wewe komaa na genge tu mkuu, huku utajichosha bure.