Radio Zetu

Radio Zetu

Gordon Brown

Member
Joined
Aug 28, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Katika kizazi kijacho kitakuwa hakijui kiswahili fasaha kwa kiasi kikubwa sana, kwani baadhi ya radio zetu zimekuwa mstari wa mbele kuua lugha yetu na kuingiza maneno ya kihuni tuu, sipati picha huko mbele itakuwaje.
Hii ni hatari sama na wizara husika imevikalia kimya vyombo vya habari.
 
, .Hiyo ni kweli, ni hatari sana baadae, tena baadhi ya radio presenters hawajui kiswahili fasaha still watuma CV,s zao BBC na Al-Jazeera
 
Unaweza kunitajia redio makini japo 5 tu kati ya utitiri wa miredio tuliyonayo?
 
Back
Top Bottom