Radio47 ya Kenya ndio redio pekee ninayoifuatilia sasaivi

Radio47 ya Kenya ndio redio pekee ninayoifuatilia sasaivi

Inapatikana ukiwa mkoa gani? Maana hapa moshi zinazosikika ni milele fm na nyingine mbili zilizoko karibu na mkoa wa kilimanjaro
 
Huwa naona Tu clips zao mitandaoni, hii Redio ni noma Sana kwenye vipindi vyao....
Mtoa mada unatumia njia ipi kusikiliza
 
Mbona kitambo sana!

Nikishaacha kusikiliza radio za Tz nina miaka 5 sasa.

Kwa mnaotaka kujua namna ya kusikiliza Radio kutoka popote pale duniani, basi msiwazez dunia iko kiganjani kwako kwa sasa!

Dunia kwa sasa iko ki-Digitali zaidi.

Kwa sasa dunia nzima imehamia kwenye RADIO GARDEN ili kusikiliza radio yoyote duniani. Cha muhimu tu ni kuwa na data, na haili sana data.
Screenshot_20251108_131745_Radio Garden.png


Uzuri ni wana option za Free Plan na Premium Plan kwa wale ambao watataka vikorombwezo zaidi.
Screenshot_20251108_131456_Radio Garden.png
 
Hawa ndiyo Radio 47 kwa wasioijua.

Kwanza watangazaji wao tu wanavutia kuwasikiliza, ni watu wanaoongea vitu vina make sense.





 
Hii ndio redio ya kusikiliza sio haya yanajiita sijui superbrand hata kuripoti maandamano yameshindwa
 
Naikubali sana
Naomba watanzania wenzangu muifuatilie hii redio maana inatoa habari ambazo ni za uwazi na lugha wanayoitumia ni Kiswahili, unaweza kuhisi ni redio ya Tanzania kumbe ni ya Kenya.

ASANTE KENYA
 
Haya ndo mambo tunayoyataka
 
Back
Top Bottom