Kuwa serious ,best tactician anafundisha timu ya Championship ?Yaani hiyo comment yako ndio unanithibitishia hao wote hawajapata mafanikio ya kikombe hicho ingawa baadhi yao waliwahi shiriki kikombe hicho.
Kumbe hivi ndivyo unavyofikiri? Haya mkuu jamaa ni wa ovyo sio kocha mzuri, kigezo amekubali kuifundisha timu inayoshiriki championship. Lord have mercy.Kuwa serious ,best tactician anafundisha timu ya Championship ?
Mkuu Belo humpendi Benitez au huipendi Newcastle ?Makocha bora wa Ulaya Ferguson,Lippi,Ancelloti,Guardiola,Mourinho,LVG,Rijkaard,Hitzfield hakuna aliyechukua ubingwa wa Uropa
Zidane ana uzuri gani!Tutakuwa na makocha wazuri uingereza, Zidane aje pale Liverpool, Simon aje pale Arsenal mambo yatakuwa hatari!!
Wanatuonea sana, dhidi yetu kila mtu kwao anang'aa hata wamweke LufungaNewcastle kurudi ni habari mbaya kwetu sisi chelsea
Unamfahamu Dwight Gayle?Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .
Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao , kiungo Shelvey na Muafrika mmoja winga aitwaye Atsu , wengine wote ni mizigo mizito .
Lakini kwa mbinu na mipango yake uwanjani timu hii inarudi tena EPL .
Championship huyu ni bingwa wa uefa leo yupo championship[emoji3] [emoji3] [emoji3]benitez anafundisha ligi daraja la ngap?
Mara mia ucheze ligi kuu na si championship ni balaa tupu hukohuko anakocheza anakutana na vibonde tu
Hata Ayoze ni mtambo. Give credit where it's due.Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .
Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao , kiungo Shelvey na Muafrika mmoja winga aitwaye Atsu , wengine wote ni mizigo mizito .
Lakini kwa mbinu na mipango yake uwanjani timu hii inarudi tena EPL .
Kwa sasa Benitez sio best tactician kama mnavyosema,Kocha aliyechemsha Inter,Napoli na Real Madrid anaongoza ligi Championship ndio best tactician ?Mkuu Belo humpendi Benitez au huipendi Newcastle ?
Mimi ni mchambuzi wa soka wa kimataifa .Unamfahamu Dwight Gayle?
Kila Mtanzania ni mchambuzi wa soka this days,labda wewe una ziada.Hongera mkuuMimi ni mchambuzi wa soka wa kimataifa .
dah hatar mkuuChampionship huyu ni bingwa wa uefa leo yupo championship[emoji3] [emoji3] [emoji3]