Rafa Benitez: Tactician anayeirudisha timu mbovu ya Newcastle EPL

Rafa Benitez: Tactician anayeirudisha timu mbovu ya Newcastle EPL

Yaani hiyo comment yako ndio unanithibitishia hao wote hawajapata mafanikio ya kikombe hicho ingawa baadhi yao waliwahi shiriki kikombe hicho.
Kuwa serious ,best tactician anafundisha timu ya Championship ?
 
Bado match kama kumi hivi, ndio mzunguko wa champion uishe, hiyo timu isijiamini sana na kocha wao...
Siyo ajabu ikashindwa kufuzu moja kwa moja ikacheza play off na huko ikapigwa knock out!
 
Kuwa serious ,best tactician anafundisha timu ya Championship ?
Kumbe hivi ndivyo unavyofikiri? Haya mkuu jamaa ni wa ovyo sio kocha mzuri, kigezo amekubali kuifundisha timu inayoshiriki championship. Lord have mercy.
 
Makocha bora wa Ulaya Ferguson,Lippi,Ancelloti,Guardiola,Mourinho,LVG,Rijkaard,Hitzfield hakuna aliyechukua ubingwa wa Uropa
Mkuu Belo humpendi Benitez au huipendi Newcastle ?
 
Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .

Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao , kiungo Shelvey na Muafrika mmoja winga aitwaye Atsu , wengine wote ni mizigo mizito .

Lakini kwa mbinu na mipango yake uwanjani timu hii inarudi tena EPL .
Unamfahamu Dwight Gayle?
 
Hata Ayoze ni mtambo. Give credit where it's due.
 
Mkuu Belo humpendi Benitez au huipendi Newcastle ?
Kwa sasa Benitez sio best tactician kama mnavyosema,Kocha aliyechemsha Inter,Napoli na Real Madrid anaongoza ligi Championship ndio best tactician ?
 
Back
Top Bottom