Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Rafiki yangu ana changamoto kidogo ya kazi. Ni muda. Nami nimekuwa kwenye changamoto hiyo kwa muda ila nikajiajiri na maisha yanaendelea.
Kwa wale ambao tunajiajiri kuandika andika projects au kufanya kazi za watu kwa makubaliano huwa siku hazilingani. Siku zote si jumapili.
Rafiki huyu (si wakaribu sana) tulikutana kwenye makundi haya ya whatsapp. Tukazoeana na kuendelea kufahamiana na nimeshawahi onana naye mara moja tu toka mwaka 2015 kama sikosei. Amekuwa anapokwama ananitumia msg. Nami naangalia nina nini namrushia.
Naelewa sana suala la uchumi kuyumba hasa kwa mtu mwenye mke na watoto. Huwa siwazi mara mbilimbili kabisa. Mtu akisema tu hana chakula nyumbani naangalia kwenye simu nina tsh ngapi.
Kama wiki mbili ago alinitumia msg kuwa anahitaji nimsaidie pesa. Nikamwambia sipo vizuri kiukweli.na ndiyo uhalisia ulivyokuwa. Bahati mbaya sometime mtu anaweza kukuona unaendesha gari aka conclude tu wewe pesa unazo. Kumbe mimi huwa naweka Fuel hata ya 150,000 pesa ikiwepo. Then natulia tu coz naelewa kwangu gari nikitendea kazi.
Baada ya kumjibu vile imekuwa nikipiga simu hapokei. Nikipiga simu anakata. Nlipata pesa kiasi flani nikaona nimtafute. Basi nikipiga simu ili aniambie nitume kwa namba gani ya Wakala. Anakata. Au hapokei. Ameamua tu kunyamaza.
Nikawaza sababu ni mimi kumwambia sikuwa na pesa? Kitu ambacho ni kweli ndo ameamua kuninyamazia? Kwenye group tunaonana namwona anapost some stuff ila nikipiga simu hapokei. Nimesikitika na kuumia. Amesahau mara zote ambazo nimekuwa nikimwezesha hata pasopo kuniomba sometime. Hasa wakati wa sikukuu.