Rafiki anapokuwa tena si Rafiki, Anaumiza sana

"washkaji wengine ni kama kamasi ndani ya pua,
Usipowatoa, wanabana nafasi ya kupumua"
 
Hua mnaishije bro... Mimi hua sina rafiki wa kudumu kabsaa ata mke wangu mwenyewe simuamini sembuse rafiki...
 
Umemaliza yote besty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…