Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

mariam NM

New Member
Joined
Jan 13, 2025
Posts
2
Reaction score
5
Ndugu zangu JF,

Rafiki yangu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikuwa naomba ushahuri na muongozo tumsaidie.
 
Ndugu zangu JF rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikua naomba ushahuri na muongozo tumsaidie
Na boom ndo asahau...
Aombe chuo kingine. Kuna jamaa alidisco mzumbe akaapply UDOM tukaanza naye mwaka wa kwanza. Tuko mwaka wa tatu kuna jamaa akaajiriwa pale anatufundisha micro economics kumbe alikuwa classmate wake hapo mzumbe.
Ila awe serious na masomo.
 
Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie
Kwanza huyo rafiki yako ni wewe!

Unataka usitishe mara ngapi?
Kama ume disco maana yake tayari umèsitishwa.

Omba kozi nyingine nyepesi kwàko utakayoiweza ili uanze upya
 
Back
Top Bottom