Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

Rafiki angu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kusitisha masomo. Naomba ushahuri tumsaidie

Pole sana jaribu kuomba fani nyingine.
Kipindi nipo SUA kuna janja alidisco, akaomba UDOM akapata ajabu sasa yeye ndio aliwahi kumaliza na kupata ajira.
 
Anasitishaje masomo ilhali masomo yameshamsitisha?
Aombe kozi nyingine,asipange kitaa sasa,akae kampasi some,asiwe mtu wa kujiachia sana.
 
Nyinyi vijana mkishaga enda chuoni huwa mpo bize kufanya mambo ya kipuuzi mnasahau kilicho wapeleka chuoni.
Una weza kuta huyo rafiki yako anatokea kwenye masikini sana huko kijijini na wamesha uza mashamba na mbuzi zote wakidhani wanasomesha mtu wamaana kumbe wanasomesha ng'ombe.
 
Rafiki yako au wewe??? Kijana badala ya kusoma ulikuwa unakesha kitambaa cheupe na kidimbwi.... Alafu kudisco ndo umesitishiwa masomo tayari .... Kachunge ngombe za babu yako tuu
 
Ndugu zangu JF,

Rafiki yangu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikuwa naomba ushahuri na muongozo tumsaidie.
Mtu aliyedisco anasitisha masomo wakati hana sifa za kusoma? Ili usitishe masomo inabidi uwe na sifa za kusoma! Bila shaka huyo rafiki yako ni wewe hivyo cha msingi ukafanye mambo mengine sio lazima ufanikiwe kwa kusoma au ukaanze upya chuo kingine tena ikiwezekanakasome haya diploma! Usife moyo
 
Back
Top Bottom