Pole sana jaribu kuomba fani nyingine.
Kipindi nipo SUA kuna janja alidisco, akaomba UDOM akapata ajabu sasa yeye ndio aliwahi kumaliza na kupata ajira.
Nyinyi vijana mkishaga enda chuoni huwa mpo bize kufanya mambo ya kipuuzi mnasahau kilicho wapeleka chuoni.
Una weza kuta huyo rafiki yako anatokea kwenye masikini sana huko kijijini na wamesha uza mashamba na mbuzi zote wakidhani wanasomesha mtu wamaana kumbe wanasomesha ng'ombe.
Mtu aliyedisco anasitisha masomo wakati hana sifa za kusoma? Ili usitishe masomo inabidi uwe na sifa za kusoma! Bila shaka huyo rafiki yako ni wewe hivyo cha msingi ukafanye mambo mengine sio lazima ufanikiwe kwa kusoma au ukaanze upya chuo kingine tena ikiwezekanakasome haya diploma! Usife moyo